Posted on: June 5, 2020 Posted by: Kevin Oduor Comments: 0

False: This Photo is not associated with claims of that Rachael Ruto facing Domestic Violence

This photo claiming William Ruto’s wife Racheal Ruto is facing domestic violence and abuse victim on twitter that was posted on 26th May is false. A twitter post emerged with a photo of DP Ruto’s wife Rachael Ruto swollen face allegedly beaten by husband.   Our fact check desk have found out that the photo dates back on 12th June 2017 when it was used in a local blog Kenyans.co.ke. When…

Posted on: June 5, 2020 Posted by: Kevin Oduor Comments: 0

False : Dagoretti Youth Leader Alex Mirin’gu not Responsible of Poisonous food in Kiambu

A fake poster emerged in WhatsApp and Facebook pages claiming police were pursuing Steven Miringu Njoroge for distribution of poisonous food in Kiambu. The poster had the image Dagoretti Youth leader Alex Miringu as shown below with police allegedly placing a bounty of Ksh 200000 on him. The image emerged barely a week after it was reported in leading Kenyan newspapers that at least 20 people were taken ill after…

Posted on: June 2, 2020 Posted by: Kevin Oduor Comments: 0

Mwanamke anusurika Kifo baada ya Kujichoma kwa Petroli

Mawingu ya huzuni yaligubisha mtaa wa Riruta eneo la Dagoretti baada ya mwanamke mmoja kujaribu kujiua kwa kujichoma kwa Petroli. Majirani waligutuka kuskia mlipuko kutoka nyumba hiyo na kupata malazi yake yakiwa yameshika moto. Kwa mujibu wa wakaazi, mwanamke huyo amekuwa na mvutano na bwanake ambapo walitengana kwa muda. Mumewe alitoroka na kumuacha akiishi katika chumba hicho cha mabati

Posted on: May 7, 2020 Posted by: Kevin Oduor Comments: 0

Riruta is the latest estate in Dagoretti to have CoronaVirus positive case…

Riruta is the latest estate in Dagoretti to have CoronaVirus positive cases. This is after one person was confirmed positive. In the last 24 hours Kenya has recorded 25 more people who have tested positive for coronavirus disease, bringing the total to 607. CAS Rashid Aman on Thursday said they tested 632 samples in 24 hours. From this, 22 are Kenyans, 1 Ugandan, 1 Tanzanian and a Chinese. A total…

Posted on: March 24, 2020 Posted by: Kevin Oduor Comments: 0

Gavana wa Kakamega kupimwa virusi vya Corona

By Kevin Oduor Wycliffe Oparanya alitangaza kuwa atafanyiwa vipimo vya Covid-19. Hii ni baada ya kutangamana na maafisa watatu ambao walisafiri nchini Italia hii majuzi ambapo ndio imeathiririka zaidi na janga hilo. Watatu hao walikosa kufuata kanuni ya kuingia karantini wiki moja iliyopita baada ya kurejea nyumbani. Oparanya pia ametambua kwamba maafisa hao watatu hawakujitenga ghafla baada ya kurejea nyumbani wakitokea Italia ambapo walikuwa wamekwenda kutafuta kifaa cha maji kinachohitajika…

Posted on: March 19, 2020 Posted by: Kevin Oduor Comments: 0

Oparanya awaonya wananairobi Dhidi ya Kusafiri Nyumbani Kusambaza Corona

Wakenya wanaoishi mijini wameshauriwa wasisafiri kuelekea mashinani wakati huu ambapo serikali inajitahidi iwezavyo kudhibiti ueneaji wa virusi vya corona. Mwenyekiti wa Baraza la Magavana Wycliffe Oparanya, alisema kuhepa mijini itawaweka wakazi hao pamoja na jamaa zao katika hatari ya kuambukizwa virusi hivyo hatari. Oparanya pia anahofia kwamba, kuna wazee wengi wanaoishi vijijini, na wazee wametambuliwa kuwa katika hatari zaidi ya kupata madhara makubwa endapo wataambukizwa. Kiongozi huyo ambaye pia ni…

Posted on: March 13, 2020 Posted by: Kevin Oduor Comments: 0

Mkenya wa Kenya wa kwanza augua virusi vya Corona

Mwandishi: Kevin Oduor Wizara ya Afya imeripoti kisa cha kwanza cha virusi vya ugonjwa wa corana nchini. Kulingana na Waziri wa Afya Mutahi Kagwe, Mkenya huyo alithibitishwa kuwa na virusi hivyo usiku wa Alhamisi, Machi 12 baada ya kurejea nchini kutoka Marekani. Mgonjwa huyo mwenye umri wa miaka 27, alithiitishwa kuwa na virusi hivyo, Alhamisi, Machi 5 na amelazwa katika Hospitali ya Kitaifa ya Kenyatta (KNH). Waziri ameripoti kuwa, mgonjwa…

Posted on: February 26, 2020 Posted by: Kevin Oduor Comments: 0

Kenei: Polisi wa Ruto aliyefariki alikuwa na donda la risasi shingoni

By Kevin Oduor Polisi huyo ambaye anaaminika kuwa alikwa na taarifa muhimu kuhusu sakata ya zabuni ya kununua vifaa vya jeshi alipatikana chumbani kwake wiki iliyopita akiwa amefariki. Kulingana na upasuaji uliofanywa na serikali, sajini huyo alikwa na donda moja la risasi chumbani. Sajini Kenei alionekana mara ya mwisho akiwa na maafisa wenzake aliokuwa akihudumu nao katika afisi ya Ruto – Kenei alipatikana akiwa ameaga dunia nyumbani kwake mtaani Imara…

Posted on: February 7, 2020 Posted by: Kevin Oduor Comments: 0

Ministry of Education donates lockers to the new Riruta Mixed Secondary School

By Kamadi Amata During a public participation in February 2018, it was raised that there was need to have that at least two secondary Schools within Dagoretti South especially around Riruta. Now arising from the pressure of the Ministry of Education 100 transition policy, the dream of having two secondary schools are becoming a reality. The ministry ahead of the setting up of the proposed schools, scaling up of the…

Posted on: February 6, 2020 Posted by: Kevin Oduor Comments: 0

Serikali yatangaza Juma Nne Wiki Ijayo kama siku ya likizo kuomboleza Moi

Mwandishi: Kevin Oduor Kupitia kwa Mkuu wa Utumishi wa Umma Joseph Kinyua, serikali pia imetoa utaratibu utakaofuatwa wakati wa shughuli ya mazishi hadi atakapozikwa mzee. Moi aliyeaga dunia Jumanne, 4 akipokea matibabu katika Nairobi Hospital atazikwa Jumanne, nyumbani kwake Kabarak, Kaunti ya Nakuru. Rais Uhuru Kenyatta ataongoza wakenya kutizama mwili wa RaiS Moi katika bunge la taifa siku ya Jumamosi. Ibada ya wafu itaandaliwa Juma Nne kabla ya mwili kupelekwa…

Posted on: February 5, 2020 Posted by: Kevin Oduor Comments: 0

A new Day Mixed Secondary school in Dagoretti to boost the government`s 100 % transition policy

By Tebby Otieno   The government`s 100 % transition policy has gotten a boost in Dagoretti Sub County, following the launch of a new secondary school within the area. Three days after the Riruta Satelite Day Secondary school was launched by Basic Education Principal Secretary Dr. Belio Kipsang,  31 students have been enrolled.   Speaking to Mtaani radio reporter in her office, Riruta Satelite Primary school and principal Riruta Satelite…

Posted on: January 20, 2020 Posted by: Kevin Oduor Comments: 0

Babu Owino asalia rumande kwa siku saba kwa kosa la kujaribu kumuua DJ Evolve

Babu alikana mashtaka dhidi yake na atazuiliwa kwa siku saba zaidi huku uchunguzi dhidi yake ukiendelea. Kama ilivyoripotiwa awali, Babu alikamatwa baada ya kumpiga risasi na kumjeruhi vibaya DJ huyo siku ya Ijumaa, Januari 17. Wakili wa Owino Cliff Ombeta alitaka mteja wake aachiliwa huru kwa dhamana ila hakimu mkuu wa mahakama ya Milimani Francis Andayi alikataa ombi hilo kwa madai kuwa mshukiwa angeharibu ushahidi. Babu kwa sasa anazuiliwa katika…

Posted on: January 20, 2020 Posted by: Kevin Oduor Comments: 0

Msichana auwawa Kabiria Dagoretti na mwili kutupwa mtaroni

Mwili wa msichana wa umri wa miaka kati ya kumi na minaNe na ishirini na sita ulipatikana kwenye mto karibu na eneo la Cabby Centre Kabiria.  Msichana huyo anaaminika kuwa alikuwa ameuwawa na kufungwa na kamba kisha kuwekwa kwenya gunia na mwili wake kutupwa kwenye mto. Baadhi ya wakaazi waliopata mwili huo wanahoji kuwa walipoenda kuteka maji katika Kisima kilichokaribu, waliskia harufu wa na kufika hapo walipopata mwili huo. Mwili…

Posted on: January 17, 2020 Posted by: Kevin Oduor Comments: 0

Babu Owino Mashakani kwa tuhuma za kumpiga risasi Deejay Evolve

Kwenye kanda ya video iliyosambazwa katika mtandao wa kijamii, jamaa anayeaminika kuwa Babu na ambaye alikuwa amevalia shati lenye rangi ya machungwa alionekana akimfyatulia risasi kadhaa DJ huyo mwendo wa saa moja asubuhi Ijumaa. Maafisa wa polisi waliweza kumkamata Babu saa chache baada ya kisa hicho na anazuiliwa katika kituo cha polisi cha Kilimani. Tayari uchunguzi umeanzishwa kuhusiana na kisa hicho huku Babu akida kutishiwa maisha na mahasidi wake wa…

Posted on: January 17, 2020 Posted by: Kevin Oduor Comments: 0

THE EXCELLENCE SCHOOL OF KAWANGWARE SLUM

By Tebby Otieno tebbyotieno62@gmail.com At thirteen years old, he was so happy that his hard work had finally landed him opportunity, in a boarding boy’s national secondary school in Kitui County. This only lasted for a year due to what he describes as unfavorable climate. Fidel Mutemi, now 17 year old travelled back to Nairobi`s Kawangware slum, where he had been brought up. His parents then transferred him to a…

Posted on: January 8, 2020 Posted by: Kevin Oduor Comments: 0

Mwakilishi wadi Ngando Peter Waihinya aahidi kukamilisha miradi ya 2020

Mwakilishi wa wadi ya Ngando Peter Waihinya amekiri kuwa yuko katika harakati za kufanikisha miradi ya mwaka 2020. Mwakilishi huyo alitoa kauli hii katika mahojiano ya kipekee na mwandishi wetu juma tano hii. Miradi hii ni pamoja na ukarabati wa barabara kadhaa eneo hilo kando na usambazaji wa maji kwa wakaazi wa eneo hilo. Kumbuka eneo hilo la Ngando linachangamoto si haba. Wazazi wanalazimika kupeleka wanao kwa shule za kibinafsi…

Posted on: December 6, 2019 Posted by: Kevin Oduor Comments: 0

Gavana wa Nairobi Mike Sonko akamatwa kwa tuhuma za ufisadi milioni 357

Gavana wa Nairobi Mike Sonko alikamatwa na makachero wa tume ya kupambana na ufisadi nchini EACC eneo la Voi. Haya yalijiri saa chache baada ya kiongozi wa mashtaka ya umma Noordin Haji kuamrisha kukamatwa kwa Gavana huyo akisema kuwa uchunguzi waliofanya unamhusisha na ubadhirifu wa shilingi milioni 357. Mzozo uliibuka kati ya Gavana huyo na maafisa wa polisi barabarani baada ya kudaiwa Gavana huyo alidinda kupanda helikopta ya polisi. Hatimaye…

Posted on: September 23, 2019 Posted by: Kevin Oduor Comments: 0

Mashindano ya kukabiliana na Maradhi ya Moyo

Mwandishi : Fridah Okachi Mtu mmoja kati ya kumi hupoteza maisha huku watu wawili kati ya kumi wakilazwa kwenye hospitali kutokana na maradhi ya mshtuko wa moyo ulimwenguni. Ripoti hii ikiashiria kuwa idadi ya wanaopoteza maisha kutokana na maradhi ya moyo ni kadri milioni sita kila mwaka kote ulimweguni. Radhika Choksey msimamizi wa Mawasiliano Dijitali na mauzo katika kampuni ya Philip ,amesema kuwa kuna dakika kumi za kumwokoa yule ambaye…

Posted on: September 23, 2019 Posted by: Kevin Oduor Comments: 1

Mashirika yasiyo ya kiserikali wadi ya Gatina kwa ushirikiano na wakaazi washerehekea siku ya amani duniani

Mwandishi: Fridah Okachi Wakazi, viongozi wa miungano ya mashirika yasiyo ya kiserikali waadhimisha siku ya amani katika mtaa wa Congo. Josephine Njeri Njiru kiongozi wa shirika la Dagoretti Community Centre,anasema kuwa ukosefu wa amani unasababisha ukosefu wa kazi na kutatiza biashara. Njiru anasisitiza kuwa mkutano huu ni wa kuhamasisha jamii umuhimu wa usalama. Kwa upande wake Dicksoni Musembi Kasole ambaye ni afisa wa kutoa mafunzo kwa shirika la maendeleo kwa…

Posted on: September 23, 2019 Posted by: Kevin Oduor Comments: 1

Dagoretti: Wanafunzi 7 waaga dunia baada ya madarasa kuporomoka mtaani Ngando

Wanafunzi 7 wamedhibitishwa kufariki kwenye mkasa wa ukuta kuporomoka na hatimaye madarasa kuanguka katika Shule ya Precious Talent, eneo la Ng’ando, mtaani Dagoretti, jijini Nairobi. Shule hiyo ipo katika mkabala na Barabara ya Ngong’; shughuli za uokozi zilikamilika huku ikiarifwa tayari wanafunzi zaidi ya 50 wametolewa kwenye vifusi na kupelekwa Hospitali Kuu ya Kitaifa ya Kenyatta (KNH) wanapoendelea kupokea matibabu. Rais Uhuru Kenyatta, naibu wake William Ruto na kinara wa…

Posted on: September 5, 2019 Posted by: Kevin Oduor Comments: 0

Afisa wa Polisi auwawa baada ya kuzozana na wenzake Kawangware

Afisa huyo wa polisi anayetambulika kama Benson Indeche alikwa akihudumu katika kituo cha polisi cha Riruta na alikwa katika ngazi ya Inspekta. Mwendazake anadaiwa kupigwa risasi mara tano mwilini majira ya saa tisa usiku kabla ya kusafirishwa katika hospitali ya Nairobi Women ambapo madaktari walidhibitisha kifo chake. Inadaiwa kuwa wahudumu wa bodaboda waliripoti kuhangaishwa na polisi huyo ambaye alikwa mlevi. Polisi wenzake walifika pale kun’gamua yaliyojiri. Hata hivyo inadaiwa kuwa…

Posted on: August 28, 2019 Posted by: Kevin Oduor Comments: 0

ODM Yaahirisha Uteuzi wa Ubunge Kibra

Chama cha chungwa kilikwa kimeorodhesha wagombeaji kumi na mmoja kumenyana katika uteuzi wa mwaniaji atakayepeperusha bendera ya chama. Hata hivyo, siku tatu kabla ya wakaazi wa Kibra kuelekea debeni, ODM sasa imetangaza kuwa shughuli hiyo itasitishwa kwa muda. Kwa mujibu wa taarifa iliyotumwa kwa vyombo vya habari na Katibu mkuu Edwin Sifuna, wamelazimika kufanya uamuzi huo baada ya serikali kuu kutoa madai ya upungufu wa maafisa wa usalama kulinda shughuli…

Posted on: August 22, 2019 Posted by: Kevin Oduor Comments: 1

Education burden in Dagoretti

So can a child whose parent earns Ksh. 200 in a day be promised of future life, if even basic education that the government says is free is still paid for?

Posted on: July 8, 2020 Posted by: Kevin Oduor Comments: 0

FALSE HEADLINE: This article does not state that certain blood types can protect against HIV infection

An article published by online content aggregator Opera News claiming that people who have a particular blood type cannot contract HIV/AIDS has a FALSE HEADLINE. The article was reshared from olexhome.info, but most of its content has been copied from another post published in 2019 on verywellhealth.com — a peer-reviewed online resource for medical information. The author, Elizabeth Boskey, PhD, who is a social worker and expert writer in the field of sexually transmitted diseases, includes none…

Posted on: July 8, 2020 Posted by: Mtaani Radio Comments: 0

TRUE: The World Health Organization has stopped trials of hydroxychloroquine, HIV drug treatment for COVID-19

An article published by China Global Television Network (CGTN) claiming that the World Health Organization (WHO) has halted trials of hydroxychloroquine and HIV drugs as a potential treatment for COVID-19 is TRUE. The trial used a combination of the malaria drug hydroxychloroquine and the HIV drug lopinavir/ritonavir for treatment, but failed to reduce mortality. In a statement dated July 4, the global health body announced that trials were stopped following recommendations made by the…

Posted on: June 26, 2020 Posted by: Kevin Oduor Comments: 0

Senate Acquits governor Ann Waiguru

By lawyer Martin Nyakundi O’Barimo Having analyzed the Senate Report on Waiguru Impeachment , I categorically state that the MCAs had not documented prima facie evidence to table at the assembly, leave alone the Senate ,since accessing such information from the executive is a tall order hence coming to the Senate to try ask the Executive to produce self incriminating evidence can’t happen and it’s not how the law of…

Posted on: June 24, 2020 Posted by: Kevin Oduor Comments: 0

FALSE: The Post Circulating Warning People that the Government has Approved Them on Qualifying the 50% Covid19 Interventions

A message circulating on WhatsApp and Facebook Warning people that the government is giving out funds for COVID-19 relief is false. The message asks for personal information. including names, dates of birth, bank information and phone numbers. Mtaani fact check desk called the authority concerned that is kabiria chief Richard Muladi and denied the message

Posted on: June 24, 2020 Posted by: Kevin Oduor Comments: 0

FAKE: Lady Maureen is Not Dead

This morning there have been posts going round in social media that Ohangla queen Maureen Achieng’ Otiu famously known as Lady Maureen is dead.  In a social media post seen by  Mtaani Radio fact check desk, a section of fans announced the death of Lady Maureen spreading panic.

Posted on: June 22, 2020 Posted by: Kevin Oduor Comments: 0

Duale Nje, Kimunya ndani…

Aden Duale sio kiongozi wa wengi tena katika bunge la kitaifa. Hii ni baada ya chama chake ya Jubilee kumvua wadhifa huo. Duale amehudumu katika nafasi hiyo kwa kipindi cha miaka minane sasa. https://www.youtube.com/watch?v=nMLVB-_j_tU&feature=youtu.be Mbunge wa Kipipiri na waziri wa zamani Amos Kimunya ndio sasa kiongozi wa wengi. Hii inafuatia mkutano wa wabunge wa chama cha Jubilee ulioongozwa na rais Uhuru Kenyatta na naibu wake William Ruto. Mkutano huu uliandaliwa…