Wednesday, November 27, 2024
HomeNewsLikoni Feri- Mariam Kigenda na mwanawe Amanda waopolewa baada ya siku 13...

Likoni Feri- Mariam Kigenda na mwanawe Amanda waopolewa baada ya siku 13 majini

Hatimaye mama na bintiye waliokuwa wamezama baharini eneo la kivuko cha Likoni, Kaunti ya Mombasa wameopolewa kutoka majini karibia siku kumi na tatu baada ya mkasa. Shughuli ya kuiopoa miili ya Mariam Kigenda na mwanawe Amanda Mutheu imekuwa ikiendelea kwa muda huo wote, huku wapiga-mbizi wa mashirika mbalimbali wakitumia kila mbinu kuiopoa. Kuchelewa kwa miili hiyo kuopolewa kumechangiwa na kinachotajwa kuwa changamoto za baharini ikiwamo mawimbi makali chini ya bahari, wanyama, mvua na giza kali.

Shughuli ya kuiopoa miili ya Mariam Kigenda na mwanawe Amanda Mutheu imekuwa ikiendelea tangu Jumapili, Septemba 29, gari lao lilipozama. Source: Original Vitengo mbalimbali vya Polisi, ikiwamo afisi ya Mkurugenzi wa Uchunguzi wa Jinai (DCI), Shirika la Msalaba Mwekundu. Kuchelewa kwa miili hiyo kuopolewa kumechangiwa na kinachotajwa kuwa changamoto za baharini ikiwamo mawimbi makali chini ya bahari, wanyama, mvua na giza kali.

Mwandishi : Kevin Oduor

Kamadi Amata
Kamadi Amatahttps://mtaaniradio.or.ke
I am a digital content creator with niche in Health, politics, and Human Interest Features.
RELATED ARTICLES

Most Popular

Recent Comments

Solverwp- WordPress Theme and Plugin

Facebook

adapazarı escort Eskişehir escort bayan