Posted on: November 15, 2019 Posted by: Kamadi Amata Comments: 0

Chama cha ODM kimebadilisha uongozi wake katika bunge la kaunti ya Nairobi. Muakilishi wa wadi ya Karen David Njilithia amechaguliwa kiongozi wa wachache na kujua nafasi ambayo imekuwa ikishikiliwa na mwenzake wa KIleleshwa Elias Otieno. Chama hicho kupitia kwa taarifa kwa vyombo vya habari, kinasema mabadiliko haya yametumwa kwa spika Beatrice Elachi.