Posted on: December 18, 2019 Posted by: Kamadi Amata Comments: 0

Wabuko Toni Wa Shule ya Upili ya Kenya High ndie mwanafunzi bora nchini mwaka huu akiwa na alama 87.159

Kenya High ikiwa shule bora nchini na alama Nyingi zaidi za A (76)

Ili kupata matokeo ya mtihani tuma ujumbe ukianza na Index Number fuatisha neno KCSE alafu tuma kwa 20076

ORODHA YA WANAFUNZI KUMI BORA NCHONI #KCSE2019
1. Buruma Tony – Kapsabet Boys – 87.159
2. Barasa Maryanne Njeri – Kenya High School – 87.087
3. Aboke David – Kapsabet Boys – 87.085
4. Antony Owuor Ochieng – Maseno High School – 87.000
5. Mathuri Natasha Wawira – Kenya High School – 86.961
6. Kizito Esther – Kenya High School – 86.960
7. Long’ari Chelagat – Alliance High School – 86.924
8. Hellen Njoki – Kenya High School – 86.914
9. Irene Chelagat – Moi Forces Lanet – 86.900
10. Laura Otieno – St. Brigids High School -86.53

ORODHA YA SHULE KUMI BORA NCHINI #KCSE2019
1.)Kenya High School 76
2.) Kapsabet Boys 49
3.)Alliance High School 48
4.)Moi Kabarak 30
5.)Alliance Girls 27
6.)Mary Hill girls 25
7.)Maseno School 23
8.)Nairobi School 23
9.)Mangu High School 23
10.)Moi Girls School 21