Rais mtaafu Mzee Daniel Moi atazikwa Jumatano juma lijalo, nyumbani kwake Kabarak. Ibaada ya wafu itafanyika jumanne juma lijalo katika uwanja wa michezo ya Kasarani.Haya ni kwa mujibu wa waandalizi wa mazishi hayo. Moi aliaga dunia jumanne asubuhi baada ya kuugua kwa muda.
Facebook