Mbunge wa Dagoretti kusini John Kj Kiarie alijiwasilishi kwa kituo cha polisi cha Kabete. Mbunge huyo alichapisha ujumbe katika mtandao wa kijamii akidai kuwa idadi ya watio waliokurantini ni 7000. Katika ujumbe huo pia KJ anahisi kuwa wakenya watakaoambukizwa ifikapo mwezi ujao ni 10000.