Rais uhuru Kenyatta amempongeza mjongwa wa kwanza wa virusi vya Covid-19 kwa kujitokeza na kujipeleka hospitalini baada ya kuhusi dalili za ugonjwa huo. Rais amesema haya baada ya wagonjwa wawili wa virusi hivyo vya Covid-19 Brenda na Brian kupona na kuruhusiwa kwenda nyumbani. Rais amezungumza na wagonjwa hawa kupitia kanda ya video kutoka ikulu ya Nairobi, wakati wawili hao wakiwa katika Jumba la Afya. Walikuwa wameandamana na waziri wa Afya Mutahi Kagwe.
Facebook