Posted on: June 2, 2020 Posted by: Kevin Oduor Comments: 0

Mawingu ya huzuni yaligubisha mtaa wa Riruta eneo la Dagoretti baada ya mwanamke mmoja kujaribu kujiua kwa kujichoma kwa Petroli. Majirani waligutuka kuskia mlipuko kutoka nyumba hiyo na kupata malazi yake yakiwa yameshika moto.

Kwa mujibu wa wakaazi, mwanamke huyo amekuwa na mvutano na bwanake ambapo walitengana kwa muda. Mumewe alitoroka na kumuacha akiishi katika chumba hicho cha mabati