Wakaazi wanne wa Kawangware ni miongoni mwa wagonjwa kumi na moja waliyoambukizwa virusi vya Covid-19. Katibu wa kudumu katika wizara ya afya Rashid Aman, amesema […]
Author: Webmaster
Masharti mapya kwa wafanyibiashara wa hoteli…
Waziri wa Afya Mutahi Kagwe ametangaza watu wanane zaidi wameambukizwa virusi vya corona nchini. Wakati Huo uo ametangaza kulegeza masharti kwenye hoteli inayouza chakula. Tangu […]
The Reality of Covid-19 Hitting Teens Hard
Corona virus pandemic have engulfed the world disrupting different activities in the world. There is no doubt that the Covid-19 pandemic will bring about the most […]
Cornona-Idadi yafikia 122
Idadi ya wagonjwa wa virusi vya corona nchini imefikia watu 122. Hii ni baada ya watu wengine 12 kuthibitishwa kuwa na virusi hivyo ndani ya […]
Watu wawili zaidi Waaga kutokana na CoronaVirus
Idadi ya watu walioambukizwa virusi vya corona nchini imetimia 110, waziri wa Afya Mutahi Kagwe ametangaza. Akizungumza katika mkutano na wanahabari Alhamisi hii, Kagwe alisema […]
Protect Kenyans from Covid-19, CPK Party Demands…
The communist party of Kenya has called on the Kenyan government to do more to protect the health and the rights of all Kenyans from […]
Brenda na Brian wapona CoronaVirus
Rais uhuru Kenyatta amempongeza mjongwa wa kwanza wa virusi vya Covid-19 kwa kujitokeza na kujipeleka hospitalini baada ya kuhusi dalili za ugonjwa huo. Rais amesema […]
Wagonjwa wa CoronaVirus wafikia 59
Kenya imethibitisha visa tisa zaidi vya wajonjwa wa covid-19. Waziri msaidizi wa afya Daktari Mercy Mwangangi amesema tisa hao ni kati ya waliyopimwa kwa saa […]
CoronaVirus-Maeneo Hatari
Wakaazi wanaoishi maeneo ya kilimani, westlands na kibra wako katika hatari kubwa ya kuambukizwa virusi vya covid 19. Katika ramani inayotumiwa na wizara ya afya […]
Mbunge wa Dagoretti Kusini John Kj Kiarie ajiwasilisha kwa polisi
Mbunge wa Dagoretti kusini John Kj Kiarie alijiwasilishi kwa kituo cha polisi cha Kabete. Mbunge huyo alichapisha ujumbe katika mtandao wa kijamii akidai kuwa idadi […]
