Nafasi yake sasa inachukuliwa na Charles Thuo.
Author: Webmaster
Mshukiwa wa Mauji wa Tob Cohen akamatwa
Mshukiwa huyo amekamatwa kufuatia ilani ya mahakama moja mjini Naivasha.
Silverstone yasitisha shughuli zake za usafiri
Wakati huu kampuni hiyo itawasiliana na wateja wake kuzuia mahangaiko zaidi.
Social Media addiction in college age students
In a study recently published in the African Journal of Clinical Psychology, an affiliate of Daystar University in Nairobi, researchers found alarmingly high rates of […]
Rais Uhuru apigia simu mwanariadha Eliud Kipchoge kumtia moyo
Rais Uhuru Kenyatta alimpigia simu mkiambiaji mashuhuri Eliud Kipchoge kumtia moyo huku mwariadha huyo akijitayarisha kwa mbio za INEOS. Kwa video zinazosambaa katika mtandao wa […]
Likoni Feri- Mariam Kigenda na mwanawe Amanda waopolewa baada ya siku 13 majini
Hatimaye mama na bintiye waliokuwa wamezama baharini eneo la kivuko cha Likoni, Kaunti ya Mombasa wameopolewa kutoka majini karibia siku kumi na tatu baada ya mkasa.
Precious Talent-Ibada ya Wafu yaandaliwa kwa wanafunzi 8 waliofariki kwa mkasa
Viongozi humu nchini wameendelea kukashifu kifo cha wanafunzi hao huku Serikali ya kaunti ya Nairobi ikiendelea kupokea lalama zaidi
DCI INAWAHOJI WAKUU WA SHULE YA PRECIOUS TALENT.
Wakurugenzi wa shule ya Precious Talent ilioko eneo la Ng’ando Dagoretti hapa Nairobi wanahojiwa na DCI katika kituo cha polisi cha Kabete. Hii ni baada […]
Mashindano ya kukabiliana na Maradhi ya Moyo
Mwandishi : Fridah Okachi Mtu mmoja kati ya kumi hupoteza maisha huku watu wawili kati ya kumi wakilazwa kwenye hospitali kutokana na maradhi ya mshtuko […]
Mashirika yasiyo ya kiserikali wadi ya Gatina kwa ushirikiano na wakaazi washerehekea siku ya amani duniani
Mwandishi: Fridah Okachi Wakazi, viongozi wa miungano ya mashirika yasiyo ya kiserikali waadhimisha siku ya amani katika mtaa wa Congo. Josephine Njeri Njiru kiongozi wa […]
