Wanafunzi 7 wamedhibitishwa kufariki kwenye mkasa wa ukuta kuporomoka na hatimaye madarasa kuanguka katika Shule ya Precious Talent, eneo la Ng’ando, mtaani Dagoretti, jijini Nairobi. […]
Author: Webmaster
Afisa wa Polisi auwawa baada ya kuzozana na wenzake Kawangware
Afisa huyo wa polisi anayetambulika kama Benson Indeche alikwa akihudumu katika kituo cha polisi cha Riruta na alikwa katika ngazi ya Inspekta. Mwendazake anadaiwa kupigwa […]
Feeding and Toilet construction in Tollen Centre
Oya Oya Family, a group of our drive show fans led by Mc Barr Prince which was founded in 2016 started projects to support the centers.
ODM Yaahirisha Uteuzi wa Ubunge Kibra
Chama cha chungwa kilikwa kimeorodhesha wagombeaji kumi na mmoja kumenyana katika uteuzi wa mwaniaji atakayepeperusha bendera ya chama. Hata hivyo, siku tatu kabla ya wakaazi […]
Education burden in Dagoretti
So can a child whose parent earns Ksh. 200 in a day be promised of future life, if even basic education that the government says is free is still paid for?
Matian’gi aamrisha vyumba vya burudani kufungwa siku mbili za sensa
Huku zoezi la kuhesabu watu nchini almaarufu sensa likitarajiwa kun’goa nanga usiku wa tarehe ishirini na nne Agosti, wakenya wameonekana kuwa na hofu ya usalama […]
Ujenzi wa Thiong’o Wakamilika
Muakilishi wa wadi ya Mountain view Mourice Ochieng amewataka wakaazi wa wadi hiyo kuchukua fursa ya maendeleao eneo hilo kujiendeleza kibiashara. Akizungumza na Mtaani redio […]
Seneta wa Nandi Samson Cherargei kushtakiwa kwa matamshi ya uchochezi
Seneta huyo alikamatwa kutoka nyumbani kwake Eldoret na baadaye akaandikisha taarifa kwa maafisa wa polisi. Seneta huyo anadaiwa kutamka matamshi ya chuki alipokuwa katika mazishi […]
Wakaazi wa Dagoretti watoa maoni yao kuhusu Bajeti ya kaunti
Wakaazi wa eneo bunge la dagoreti kusini walijitokeza kwa wingi katika ukumbi wa Waithaka Juma nne hii kupendekeza hoja ambazo wangetaka ziafikiwe na serikali ya […]
Pogba apoteza penalti na kuzamisha United
Matumaini ya Man United ya kutetea ushindi wao dhidi ya Chelsea katika mechi yao ya ufunguzi kwa msimu mpya, ulizimwa siku ya Jumatatu, Agosti 19 […]
