Mbunge wa Dagoretti kusini John Kj Kiarie alijiwasilishi kwa kituo cha polisi cha Kabete. Mbunge huyo alichapisha ujumbe katika mtandao wa kijamii akidai kuwa idadi […]
Category: News
Gavana wa Kakamega kupimwa virusi vya Corona
By Kevin Oduor Wycliffe Oparanya alitangaza kuwa atafanyiwa vipimo vya Covid-19. Hii ni baada ya kutangamana na maafisa watatu ambao walisafiri nchini Italia hii majuzi […]
Oparanya awaonya wananairobi Dhidi ya Kusafiri Nyumbani Kusambaza Corona
Wakenya wanaoishi mijini wameshauriwa wasisafiri kuelekea mashinani wakati huu ambapo serikali inajitahidi iwezavyo kudhibiti ueneaji wa virusi vya corona. Mwenyekiti wa Baraza la Magavana Wycliffe […]
Mkenya wa Kenya wa kwanza augua virusi vya Corona
Mwandishi: Kevin Oduor Wizara ya Afya imeripoti kisa cha kwanza cha virusi vya ugonjwa wa corana nchini. Kulingana na Waziri wa Afya Mutahi Kagwe, Mkenya […]
Uhuru akutana na magavana wa Bonde la Ufa kwa Maandalizi ya BBI
Baadhi ya ajenda waliojadili magavana hao ilikuwa ni kuhusu mchakato wa BBI.
Man U ndio magojoo wa Manchester
Vijana wa kocha Ole Guna Solksjaer, jana usiku waliweza kuwapikumahasimu wao wa jadi na majirani wao Mancity kwenye debi iliyotia foraughani mwao Old Trafford. Bao […]
Mbunge wa Msambweni Suleiman Dori Aaga dunia!
Mbunge wa eneo bunge la Musambeni mheshimiwa Suleiman Dori aiagadunia. Dori ambaye hadi kifo chake alikua akiwahudumia wananchi waMsambweni na amekua mwandani wa karibu wa […]
The burden of teenage pregnancy…
By Changez Ndzai The Kenya government through the Nation Council for Population and Development, the Ministry of Health and Education, partnering with UNESCO/UNEPA, held a […]
Evelyn Juma – Living with #Hyperhidrosis
By Changez Ndzai Our morning show Amka Na Mtaa is always on point in discussions mostly revolving around issues concerning health features. Hosted by our […]
Kutana Na Msanii Mwalimu Zilla Kutoka Hapa Dagoreti!
Na Changez Ndzai Ni mmoja kati ya wasanii wachanga wanao jituma kupitia mziki, Zilla anafanya mziki wa injili na amekua akitumia kipaji cha ususani ili […]
