Usalama Wadorora Dagoretti

Visa vya utovu wa usalama vimeendelea kushuhudiwa Kaunti ndogo ya Dagoretti. Alhamisi asubuhi, mwili wa mwanaume ulipatikana umetupwa kando ya barabara ya Ndwaru. Wale waliyoshuhudia […]

Mzee Moi kupumzishwa jumatano…

Rais mtaafu Mzee Daniel Moi atazikwa Jumatano juma lijalo, nyumbani kwake Kabarak. Ibaada ya wafu itafanyika jumanne juma lijalo katika uwanja wa michezo ya Kasarani.Haya […]

Rais mstaafu Moi Aaga dunia..

Rais Mstaafu Daniel arap Moi afariki dunia akiwa na miaka 95, rais Uhuru Kenyatta athibitisha. “Kwa masikitiko makubwa natangaza kifo cha kiongozi mkubwa Afrika, Daniel […]