Mwili wa msichana wa umri wa miaka kati ya kumi na minaNe na ishirini na sita ulipatikana kwenye mto karibu na eneo la Cabby Centre […]
Author: Webmaster
Babu Owino Mashakani kwa tuhuma za kumpiga risasi Deejay Evolve
Kwenye kanda ya video iliyosambazwa katika mtandao wa kijamii, jamaa anayeaminika kuwa Babu na ambaye alikuwa amevalia shati lenye rangi ya machungwa alionekana akimfyatulia risasi […]
THE EXCELLENCE SCHOOL OF KAWANGWARE SLUM
By Tebby Otieno tebbyotieno62@gmail.com At thirteen years old, he was so happy that his hard work had finally landed him opportunity, in a boarding boy’s […]
Uhuru asitisha utekelezaji wa Sheria mpya za NHIF
Amri ya rais aliyoitoa Jumanne, Januari 14, katika Ikulu ya Mombasa iliwadia baada ya Wakenya kulalamika, wakiwemo Muungano wa vyama vya wafanyakazi (COTU) na viongozi kadha kutoka pembe mbalimbali za nchi.
Mwangi Kiunjuri akutana na Moses Kuria baada ya kufutwa kazi na Rais
Mbunge wa Gatundu Kusini Moses Kuria alipongeza Rais Uhuru Kenyatta kwa kufanya mabadiliko kwenye serikali yake.
Jaji Mativo aamuru Mwanasheria Mkuu Kujiwaslisha Kotini Kutetea Serikali Kuhusu Masaibu Miguna Miguna
Jaji Mativo aamuru Mwanasheria Mkuu Kujiwaslisha Kotini Kutetea Serikali Kuhusu Masaibu Miguna Miguna
Wanabiashara wa Kawangware walilia Ushuru wa Uzalendo ‘Patriotism Tax’
Wanabiashara wa Kawangware walilia Ushuru wa Uzalendo ‘Patriotism Tax’
Watoto wa Kangaroo Junior School Dagoretti wakosa kufungua shule kwa ukosefu wa chakula shuleni
Watoto wa Kangaroo Junior School Kabiria wakosa kufungua shule kwa ukosefu wa chakula shuleni
Mwakilishi wadi Ngando Peter Waihinya aahidi kukamilisha miradi ya 2020
Mwakilishi wa wadi ya Ngando Peter Waihinya amekiri kuwa yuko katika harakati za kufanikisha miradi ya mwaka 2020. Mwakilishi huyo alitoa kauli hii katika mahojiano […]
Matokeo ya KCSE 2019 yatangazwa..
Wabuko Toni Wa Shule ya Upili ya Kenya High ndie mwanafunzi bora nchini mwaka huu akiwa na alama 87.159 Kenya High ikiwa shule bora nchini […]
