Brenda na Brian wapona CoronaVirus

Rais uhuru Kenyatta amempongeza mjongwa wa kwanza wa virusi vya Covid-19 kwa kujitokeza na kujipeleka hospitalini baada ya kuhusi dalili za ugonjwa huo. Rais amesema […]

Wagonjwa wa CoronaVirus wafikia 59

Kenya imethibitisha visa tisa zaidi vya wajonjwa wa covid-19. Waziri msaidizi wa afya Daktari Mercy Mwangangi amesema tisa hao ni kati ya waliyopimwa kwa saa […]

CoronaVirus-Maeneo Hatari

Wakaazi wanaoishi maeneo ya kilimani, westlands na kibra wako katika hatari kubwa ya kuambukizwa virusi vya covid 19. Katika ramani inayotumiwa na wizara ya afya […]

Man U ndio magojoo wa Manchester

Vijana wa kocha Ole Guna Solksjaer, jana usiku waliweza kuwapikumahasimu wao wa jadi na majirani wao Mancity kwenye debi iliyotia foraughani mwao Old Trafford. Bao […]