Rais mtaafu Mzee Daniel Moi atazikwa Jumatano juma lijalo, nyumbani kwake Kabarak. Ibaada ya wafu itafanyika jumanne juma lijalo katika uwanja wa michezo ya Kasarani.Haya […]
Rais mstaafu Moi Aaga dunia..
Rais Mstaafu Daniel arap Moi afariki dunia akiwa na miaka 95, rais Uhuru Kenyatta athibitisha. “Kwa masikitiko makubwa natangaza kifo cha kiongozi mkubwa Afrika, Daniel […]
Tangatanga kuandaa Ralli Mbadala ya BBI Nakuru
Wabunge wa Jubilee wakiongozwa na Seneta wa Elgeyo Marakwet Kipchumba Murkomen wametangaza amza hiyo.
Babu Owino asalia rumande kwa siku saba kwa kosa la kujaribu kumuua DJ Evolve
Babu alikana mashtaka dhidi yake na atazuiliwa kwa siku saba zaidi huku uchunguzi dhidi yake ukiendelea. Kama ilivyoripotiwa awali, Babu alikamatwa baada ya kumpiga risasi […]
Msichana auwawa Kabiria Dagoretti na mwili kutupwa mtaroni
Mwili wa msichana wa umri wa miaka kati ya kumi na minaNe na ishirini na sita ulipatikana kwenye mto karibu na eneo la Cabby Centre […]
Babu Owino Mashakani kwa tuhuma za kumpiga risasi Deejay Evolve
Kwenye kanda ya video iliyosambazwa katika mtandao wa kijamii, jamaa anayeaminika kuwa Babu na ambaye alikuwa amevalia shati lenye rangi ya machungwa alionekana akimfyatulia risasi […]
THE EXCELLENCE SCHOOL OF KAWANGWARE SLUM
By Tebby Otieno tebbyotieno62@gmail.com At thirteen years old, he was so happy that his hard work had finally landed him opportunity, in a boarding boy’s […]
Uhuru asitisha utekelezaji wa Sheria mpya za NHIF
Amri ya rais aliyoitoa Jumanne, Januari 14, katika Ikulu ya Mombasa iliwadia baada ya Wakenya kulalamika, wakiwemo Muungano wa vyama vya wafanyakazi (COTU) na viongozi kadha kutoka pembe mbalimbali za nchi.
Mwangi Kiunjuri akutana na Moses Kuria baada ya kufutwa kazi na Rais
Mbunge wa Gatundu Kusini Moses Kuria alipongeza Rais Uhuru Kenyatta kwa kufanya mabadiliko kwenye serikali yake.
Jaji Mativo aamuru Mwanasheria Mkuu Kujiwaslisha Kotini Kutetea Serikali Kuhusu Masaibu Miguna Miguna
Jaji Mativo aamuru Mwanasheria Mkuu Kujiwaslisha Kotini Kutetea Serikali Kuhusu Masaibu Miguna Miguna
